Shule kufunguliwa Agosti 18

Waziri wa elimu George Mogoha ameamuru shule kufunguliwa Alhamisi tarehe 18.

Kwenye taarifa kwa vyombo vya habari , Mogoha asema tarehe hiyo imebadilishwa kutoka tarehe 15 hadi 18 baada ya kubainika kwamba shuguli ya zoezi la kudhibitisha kura litakuwa lianaendelea siku hiyo ya Jumatatu.

Also Read
Idadi Wengi ya Wanafunzi Kaunti ya Kwale Warajea shuleni
Also Read
Waziri Magoha asisitiza kuwa sharti mtaala wa CBC utekelezwe kikamilifu

Mogoha aliomba msamaha kwa athari zozote ambazo huenda zimetokea kutokana na tangazo la awali.

Also Read
Vera Sidika Akanusha Madai ya Kumuacha Brown Mauzo

Tangazo rasmi na tume ya IEBC ilifichua kwamba shule 250 hutumia kama vituo vya kujumuisha kura.

  

Latest posts

Serikali ya kaunti ya Kilifi yatenga asilimia 15 ya bajeti kwa maendeleo

Joshua Chome

Kalonzo Aikosoa Serikali

Clavery Khonde

Rais Ruto Ateua Jopokazi Litakalo Tathmini Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi