Shule Ya Kitaifa Ya Shimo La Tewa Yahitaji Ukuta Asema Mwalimu Mkuu

Baada ya kupata matokea bora kama shule ya kitaifa, sasa mwalimu mkuu wa shule ya kitaifa ya Shimo La Tewa Mathew Mutiso amewaomba wahisani kujitokeza ili kuisaidia shule hio kujengewa ukuta ili kuwahakikishia usalama wakutosha na kuwajengea mazingira bora ya kusoma wanafunzi wa shule hio.

Also Read
Baraza La Habari Nchini MCK Kuboresha Sheria

Katika mahojiano ya kipekee na pwani fm Mutiso amedokeza kuwa kumekua na visa vya kupatikana kwa vitu vilivyoibwa kuwekwa na watu wan je na shule hio na hii nikutokana na shule hio kukosa ukuta wa kuwazuia watu kuingia ovyo kwenye shamba la shule.

Also Read
Bunge La Kaunti Ya Mombasa Lapokea Rasimu Ya BBI.

Shule hio ambayo ilipata alama ya wastani ya 7.45 ni moja ya shule zilizofanya vyema kwenye mtihani wa KCSE 2020 kwa kuwawezesha wanafunzi zaidi ya 160 kupata alama za kujiunga na vyuo vikuu.

  

Latest posts

Vijana Wametakiwa Kutosubiri Kupewa Pesa Na Wanasiasa Ili Wajiandikishe Kama Wapiga Kura

Clavery Khonde

Wakaazi Taita Taveta Wahimizwa Kupokea Chanjo Dhidi Ya Korona

Clavery Khonde

Ken Chonga Akanusha Madai Ya Ubadhirifu Wa Fedha Za Basari

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi