Sijaagiza kukamatwa kwa majaji asisitiza Noordin Haji

Mkurugenzi wa mashtaka ya Umma Noordin Haji, amekanusha madai kwamba aliagiza kukamatwa na kuhojiwa kwa Ma-jaji wa mahakama kuu Aggrey Muchelule na Said Chitembwe kuhusiana na tuhuma za ufisadi.

Also Read
Baadhi Ya Watoto Hawakupokea Chanjo Ya Polio Lamu

Katika taarifa yake kupitia kitandaazi cha Twitter,Haji alisema ofisi yake haifahamu lolote kuhusu hali iliyopelekea kukamatwa na kuhojiwa kwa Ma-Jaji hao,na kwamba hajapokea faili zozote kuhusiana na swala hilo.

Also Read
Yote kheri Alikiba ni mtu namkubali sana

Haji alisema ripoti za jamaa mmoja kwa jina Eric Theuri, ambaye alizungumza kwa niaba ya chama cha wana-sheria nchini -(LSK), akimlaumu mkurugenzi wa mashtaka ya umma kuhusiana na kisa cha kukamatwa kwa Majaji hao hazina msingi wowote.

Also Read
Urithi Wa Mali Ndio Chanzo Cha Wazee Kuuliwa Kwale

Hata hivyo,Haji alisema endapo faili hizo zitawasilishwa kwa ofisi yake katika hali ya kutafuta ushauri,atatoa mwelekeo jinsi inavyotakikana.

  

Latest posts

ODM Yamteua Mohammed Hamid Kama Mwenyekiti Wa Tawi la Mombasa

Ruth Masita

Wafanyabiashara wa Kanda ya Afrika Mashariki Walalamikia Kupanda kwa Bei ya Mafuta Nchini

Ruth Masita

ECOWAS yaweka vikwazo Guinea

Tima Kisasa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi