Simba amedondosha tracks kumi ivi kwenye album yake aliyoipa jina First of All. Mpokee burudani isiyoisha na jamani chuki na povu uko, simba ni simba na hapa kaua. Pongezi Bwana simba na tulisema tunarajia mengi kwako na tunayaona, pongezi, pongezi na pongezi sana.
- Diamond Platnumz Ft. Jaywillz – Melody
- Diamond Platnumz – Somebody
- Diamond Platnumz – Fine
- Diamond Platnumz Ft. Zuchu – Mtasubiri
- Diamond Platnumz – Loyal
- Diamond Platnumz Ft. Adekunle Gold – Sona
- Diamond Platnumz – Wonder
- Diamond Platnumz – Nawaza
- Diamond Platnumz Ft. Focalistic, Costa Titch & Pabi Cooper – Fresh
- Diamond Platnumz Ft. Mbosso – Oka