Simjui kabisaa Rosa Ree

Baada ya Msanii wa Rap nchini, Rosa Ree “Goddess ” kuwapost wasanii wenzie wa wa Rap, Frida Amani pamoja na Chemical kwenye ukurasa wake wa Instagram na akiwataka waendelee kufukua mashimo ila wajue tu atawazika, Rapa Frida Amani pia amejibu.

Also Read
Otile Brown Awataka Mashabiki Waheshimu Kazi Za Wasanii.
Also Read
Akothee bungeni

 

Frida Amedai hana cha kumjibu mtoa post kwasababu hata hamjui ni nani, akiwa na maana kuwa hajawahi msikia wala kumuona Rosa Ree na haelewi anafanya nini😆

  

Latest posts

Nitahakikisha Diamond Platnumz na Zuchu Wanaoana”

Ken Wekesa

R.I.P COOLIO

Ken Wekesa

Happy to be back in my zone

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi