“nabidi tuwe wabunifu zaidi ili tuweze kubalance maisha ila si ivo wengi watakuwa na msongo wa mawazo mziki sasa ivi ni mchezo wa pata potea una ekeza lakini faida hamna manake hamna ata show ….ukipata unachopewa cha huzunisha” asema msanii Susumila.