Taasisi ya mafunzo kwa walimu kufunguliwa mwakani Kwale

Serikali ya kaunti ya Kwale inalenga kukifungua chuo cha mafunzo ya walimu kilichojengwa katika wadi ya Puma eneo bunge la Kinango ifikapo mwaka wa 2021.

Akiongea na wanahabari afisini mwake gavana wa Kwale Salim Mvurya amesema kuwa ujenzi wa chuo hicho unatarajiwa kukamilika katika mwaka huu wa kifedha wa 2020/2021.

Also Read
TSC yawahamiza walimu zaidi kujitokeza kupata chanjo ya Covid19

Mvurya amesema kuwa chuo hicho chenye gharama ya shilingi milioni 300 kitatoa mafunzo ya ualimu kwa wanafunzi wanaotoka maeneo tofauti ya nchi.

Also Read
Serikali Kuimarisha Kilimo Kwenye Shamba La Galana Kulalu

Gavana huyo aidha amebainisha kwamba jumla ya wanafunzi 250 watapata nafasi katika chuo hicho baada ya kufunguliwa rasmi mwaka ujao.

Also Read
Walimu wa shule za umma kuwasilisha upya vyeti vya kitaalam kila miaka mitano yasema TSC

Mvurya ameelezea kuwa idadi ya wanfunzi hao inatarajiwa kuongezeka baada ya chuo hicho cha walimu kupanuliwa. ify;line-height:normal’>Insert kagwe higher learning

  

Latest posts

Kiwango Cha Wateja Waliofurahia Huduma Za KRA Ndani Ya Miaka 3 Imeongezeka

Ruth Masita

HURIA Yalaumu Vyama Vya Kisiasa

Clavery Khonde

Wakaazi Kwale Waitaka Serikali Kushughulikia Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi