Serikali ya Ethiopia Yakomboa Mji wa Dessie na Kambolcha Kutoka kwa Tigray
Serikali ya Ethiopia imesema imeikomboa miji yake muhimu ya Dessie na Kombolcha iliyothibitiwa mwezi uliopita na wapiganaji wa Tigray. Chama cha Tigray People’s Liberation Front...