Wito Watolewa kwa Wizara Ya Mazingira Kutambua Chemichemi za Maji Zilizofichika
Mkurugenzi wa chemichemi za maji kimataifa kanda ya Afrika Mashariki Julie Malonga ameitaka wizara ya mazingira nchini kutambua kwa haraka na kuweka kwenye gazeti rasmi...