Washikadau Wahimizwa Kujiunga Na Serikali Kufanikisha Ujenzi Wa Madarasa Shuleni
Mwenyekiti wa muungano wa walimu wakuu katika shule za upili KESSHA Kahi Indimuli amewataka washikadau husika kushirikiana na serikali katika kutengeneza madarasa ambayo yatafanikisha utekelezwaji...