Mkutano Wa UDA,Kenya Kwanza Tononoka Utaendelea Kama Ulivyopangwa
Viongozi wanaowania viti kupitia muungano wa UDA na Kenya Kwanza hapa Mombasa wameeleza kuwa mkutano uliopangwa kufanyika siku ya Jumamosi utaendelea kama ulivyopangwa. Wakiongozwa na...