TAMASHA LA CHIMANO KUFUNGWA

Msanii wa kundi la sauti Sol Chimano amedai kuwa wa polisi mjini Nairobi walifanya kila wawezalo kufunga tamasha lake .
Tamasha hilo lilofahamika kama Love and Harmont lilikuwa limepagwa kufanyika February 26 katika ukumbi wa junction mall lakini Maafisa wapolisi wakatoa tarifa kuwa haikuwa salma kuanda tamasha hilo.

Aidha Chimano amesema kuwa hata baada ya kubadilisha eneo la kufanya tamasha hilo bado alipewa tarifa kuwa haikuwa salama kufanya …

See moreMay be an image of 1 person, standing, footwear and outdoors
  

Latest posts

NAIBOI YUPO HURU

Ken Wekesa

PWANI FM TOP 10

Ken Wekesa

SIMBA (DIAMOND PLATNUMZ) ASHANGURUMA

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi