Tanasha Donna Aachwa na Meneja Wake.

Mike Macheda amedhibitisha kuwa aliacha kufanya kazi na Tanasha Donna zaidi ya miezi miwili iliopita.
Macheda ambaye hapo awali alikuwa meneja wa Tanasha amesema kuwa alijiondoa kutoka kwa umeneja wa msanii Tanasha Donna kwa sababu zisizoepukika.
Kupitia mahojiano aliofanya na Mashav mashav, siku yake ya kuzaliwa Macheda amesema kwa sasa hataki kuhusishwa kabisa na biashara yoyote inayomhusu Tanasha.
Macheda ni meneja wa tatu chini ya kipindi cha muda wa miaka miwili kumpiga chini Tanasha.
  

Latest posts

Harmonize Afunguliwa Mashtaka na Dully Sykes

Ken Wekesa

Je! Tanasha Donna Ameanzisha Mahusiano Mengine na Msanii wa Nigeria Omah Lay?

Ken Wekesa

Kiki ya Nyota Ndogo na Pday Yamfanya Mumewe Afunguke Kuwa Bado Hawajaachana

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi