Tanasha Donna Asema Kuwa Alilazimishwa Kufanya Mziki Asioupenda

Msanii Tanasha Donna amefunguka kuwa awali alilazimshwa kufanya mziki ambao hakumpenda ilipata watazamaji wengi wa haraka kwenye mtandao wa youtube.

Also Read
Susumila Awashauri Wanamuziki

Kwenye Q and A aliyokuwa anafanya na Shabiki zake kwenye mtandao wa Instagram baada ya Shabiki kuhoji iwapo anaridhika na jinsi mtandao wake wa youtube ulivyo kwa sasa na ni kwanini nyimbo zake hazipati viewers wengi kama awali.

Also Read
Msanii MasterKg na Nomcebo wa wimbo wa Jerusalema Watofautiana.

Tanasha amesema kuwa sababu kuu ni kuwa amebadilisha aina ya mziki anaofanya na ni mziki anaopenda kando na alivyokuwa anafanya mziki wa awali kwa kulazimshwa.

Also Read
Eric Omondi adai Ezekiel Mutua anatumia jina lake kupata umaarufu
Tanasha Donna
  

Latest posts

Polisi wamwachilia shabiki aliyemchafua Pday mtandaoni

Ken Wekesa

Majix Enga akiri kujiunga na Illuminati

Ken Wekesa

Willy Paul Ailtaka Kunibaka,’Asema Diana Marura’

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi