Timu za Kenya Zatazamia Kuhudhuria Mechi ya Handball Nchini Tanzania.

Timu saba kutoka Kenya za mpira wa mikono unaojulikana kama handball zitajiunga na timu zingine kwenye mashindano ya mpira wa mikono.

Michezo hiyo inatarajiwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu nchini Tanzania. Kulingana na katibu wa timu za mpira wa mikono nchini Kenya Charles Omondi, timu za wanawake kutoka humu nchini zitakazohudhuria michezo hiyo ni pamoja na Nairobi Water, National Cereals Board na KDF women sides.

Timu za wawanaume zitakazohudhuria mashindano hayo ni National Cereals Board, Chuo kikuu cha Strathmore ,Self-supporting Black Mamba na GSU.

Omondi pia ameongeza kuwa michezo hiyo ilifaa kufanyika mwaka jana ila yaliahirishwa kutokana na kuongezeka kwa maambukizi ya ugonjwa wa Corona.

  

Latest posts

Manchester City Yaondoa Bidhaa Zenye Jina La Benjamin Mendy

Clavery Khonde

Emma Raducanu apongezwa ni malikia kwa usindi wake wa US open

Ibrahim Nyundo

Mashabiki Wengi Wa Manchester United Wanaishi Jijini London Utafiti Wabainisha

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi