Trump atia doa penzi la Lil Wayne

Rapper Lil Wayne ametemwa na mpenzi wake baada ya kuonyesha kumuunga mkono Rais wa Marekani Donald Trump.

Lil wayne alipiga picha na Trump siku tano zilizo pita na kuziachia katika mitandao ya kijamii ukiwa na ujumbe huu

“Just had a great meeting with @realdonaldtrump@potus besides what he’s done so far with criminal reform, the platinum plan is going to give the community real ownership. He listened to what we had to say today and assured he will and can get it done.”

Also Read
Daimond na Zuchu wamtoa Povu Tanasha Donna

Taarifa   za Mwanamtindo huyo kwa jina la Denise Bidot zilidhibitishwa na rafiki yake ambaye pia alieleza kuwa Denise alifunga account yake instagram account ambayo Lil Wayne alikuwa naifuata katika mitandao ya kijamii.

Also Read
Eric Omondi amshambulia Avril

Tukio hilo limesababisha lil Wayne kumtupia dongo Denise kwenye mtandao wa Twitter baada ya kuachia ujumbe huu.

“I live the way I love and love the way I live. I’m a lover not a lighter bekuz they burn out. I am an eternal fire and burning love, either leave with a tan, a 3rd degree burn, or stay and die in love. You’re sweating. Sincerely, the fireman.”

Also Read
Kazi yoyote anayotoa Dazlah ikiwa na jina langu ni Demo” – Tee Hits

Denise ni mfuasi sugu wa Chama che Democrat huku Lil Wayne akiwa mfuasi sugu wa chama cha Repbulican.

Nchini marekani kuna dhana kuwa watu weusi wengi ni wafuasi wa chama Democrat.

Lil Wayne pia amewahi kunukuliwa akisema kuwa anaamini kuwa hakuna ubaguzi wa rangi kwani aliwahi saidiwa na afisa wa polisi mzungu akiwa kijana mdogo.

  

Latest posts

NAIBOI YUPO HURU

Ken Wekesa

PWANI FM TOP 10

Ken Wekesa

TAMASHA LA CHIMANO KUFUNGWA

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi