Trump awekewe mashine za kumsaidia kupumua.

Rais wa Marekani Donald Trump amewekwa chini ya uchunguzi wa madaktari ili kupokea matibabu dhidi ya ugonjwa wa Covid -19.

Matamshi ya madaktari wake kwamba  huenda akaruhusiwa kuondoka hospitalini leo hata hivyo yametiliwa shaka.

Also Read
Maandamano Yafanyika Katika Baadhi Ya Majimbo Marekani

Awali ilibainika kuwa hali yake ilikuwa mbaya kuliko ilivyodhaniwa mara ya kwanza alipolazwa hospitalini siku ya Ijumaa jioni.

Ripoti kutoka Ikulu ya White House ilisema kuwa rais Trump alionesha dalili  hafifu za ugonjwa wa Covid-19,hata hivyo ilithibitisha mwishoni mwa wiki kuwa alihitaji kuwekewa mashine za kumsaidia kupumua  baada ya kiwango cha hewa ya oksijeni kwenye damu yake kupungua katika muda wa siku mbili.Hata hivyo siku ya jumapili  alionekana hadharani  akiwapungia mkono wafwasi wake,jambo ambalo lilishutumiwa na wengine.

  

Latest posts

Rais wa Somalia na Waziri Mkuu watatue tofauti zao

Tima Kisasa

Jaribio la Mapinduzi Sudan

Tima Kisasa

Chama cha Putin chaongoza Urusi

Tima Kisasa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi