Tunalenga Medali Kwenye Olimpiki Asema Mkufunzi Wa Malkia Strikers

Kocha wa timu ya kitaifa ya wanawake ya mpira wa wavu nchini Paul Bitok amesema kuwa anatarijia matokeo ya kuridhisha kutoa kwenye michezo ya olimpiki inayotarajiwa kuanza.

Also Read
Wakenya Wanahaki Yakulalamikia Mfumuko Wa Bei Ya Mafuta Asema Chonga

Bitok amesema kuwa lengo lao kwenye mashindano hayo ni kuhakikisha kuwa wanahitimu kwenye mashindano makuu ya kuwania medali ya Olimpiki ya mwaka huu.

Also Read
Lamine Diack afungwa jela Miaka miwili

Kamati ya kitaifa ya Olimpiki imesema kuwa timu zitakazohusika kwenye mashindano hayo zimegawanywa kwa vikundi vidogo vidogo ili kuzuia msambao wa ugonjwa wa Covid-19 wanaposafiri.

  

Latest posts

BETIKA  yawatuza wachezaji waliofana National super league

Ken Wekesa

ODM Yamteua Mohammed Hamid Kama Mwenyekiti Wa Tawi la Mombasa

Ruth Masita

Wafanyabiashara wa Kanda ya Afrika Mashariki Walalamikia Kupanda kwa Bei ya Mafuta Nchini

Ruth Masita

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi