Ubomozi wa Nyumba Kisauni Waacha Zaidi Ya Familia 300 Bila Makao

Zaidi ya familia 300 kutoka eneo la Utange,eneo bunge la Kisauni,kaunti ya Mombasa wameachwa bila makao baada ya nyumba zao kubomolewa leo asubuhi.

Also Read
Mbunge Wa Kisauni Ali Mbogo Asifia Utenda Kazi Wake Akiwa Uongozini.

Akiongea na wanahabari kwenye kipande hicho cha ardhi  kinachokumbwa na utata,mbunge wa eneo hilo Ali Mbogo,aliapa kuwasilisha kesi mahakamani juma lijalo huku akiwataka wakazi kutohama hadi pale suluhu litapatikana.

Also Read
Vilabu 4 vyaachua nje ya ligi ya KPL sababu Corona

Mbunge huyo alikashfu tukio hilo, akiwalaumu baadhi ya wafanyibiasha mabwenyenye wanaotaka kunyakua ardhi hiyo kutokana na maendeleo ya miundo-msingi yanayotekelezwa katika eneo hilo na hivyo kuinua thamani ya kipande hicho cha ardhi.

  

Latest posts

Uungereza Yaahidi Kushirikiana Na Kenya Kukabili Korona

Clavery Khonde

Wakenya Wahimizwa Kuwatunza Wanao Dhidi Ya Biashara Ya Ngono

Clavery Khonde

Viongozi Wa Dini Kwale Waonywa Dhidi Ya Kujihusisha Na Siasa

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi