Uchambuzi na Swala Nyeti

KBC Online

Show kubwa eneo la Pwani iliyo na faida ya sikio la kila mmoja. Imepambwa na maswala yanajiri, matukio , habari za biashara, na kumhusisha msikilizaji pomoni kutoa yanamkera inayoishia kuangua vicheko. Una fursa ya kuuliza wanaspoti wetu live maswali ya spoti na kisha kujibiwa hapo kwa hapo. Kisha mchezo unafungwa kati ya saa mbili hadi saa tatu kwa swala nyeti. Tegea Uchambuzi na Swala Nyeti kila siku ya wiki kuanzia saa 5am-9am

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi