Uhaba wa miundo msingi ya elimu kaunti ya Kilifi unawapa tumbo joto walimu wakati mitihani ya kitaifa ikikaribia

Walimu wakuu wameeleza wasiwasi kutokana na uhaba wa miundo mbinu muhimu kama mahabara ambayo hutumika pakubwa katika masomo ya kisayansi shuleni huku mitihani wa kitaifa wa KCSE na KCPE  ukitarajiwa kuanza mwezi ujao,

Also Read
Semenya Apoteza Rufaa

Bi. Eunice Mwaisege ambaye ni  mwalimu mkuu wa shule ya ya upili ya St. Thomas iliyoko Kilifi ameeleza haja ya serikali kuongeza ufadhili utakaosaidia katika kuimarisa hali ya sasa ya kielimu hususan katika kaunti ya kilifi.

Also Read
IEBC Yawahimiza Wakaazi Taita Taveta Kuthibitisha Kura Zao

Kadhalika, Mwaisege ameongeza kwamba shule hiyo inajivunia ukwasi wa talanta za uvumbuzi miongoni mwa wanafunzi  ambao mwaka jana walivumbua kifaa cha matibabu ambacho kina uwezo wa kupima korona na kutoa matokeo ndani ya dakika kumi.

Also Read
Wachezaji Wanne Kuihama Chelsea

Mwaisege pia ameeleza umuhimu wa mahabara katika kukuza talanta za uvumbuvi miliongoni mwa wanafunzi.

  

Latest posts

Ofisi Ya Msajili Yawashirikisha Washikadau Kwenye Msafara Wa Amani Pwani

Ruth Masita

Nzai Aeleza Nia Ya Kuimarisha Viwango Vya Elimu Jomvu

Ruth Masita

WRC Safari Rally Kuandaliwa Naivasha

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi