Ukame Waongezeka Kwale

Zaidi ya wakaazi elfu 27 kutoka kwenye  kaunti ya Kwale wameathirika na ukame huku familia nyingi zikilazimika kulala njaa kutokana na kiangazi ambacho kimekuwa kikishuhudiwa.

Also Read
Mikakati Yakukabili Korona Yaimarishwa Mombasa

Kulingana na mkurugenzi wa shirika la msalaba Mwekundu tawi la Kwale Mohammed  Mwaenzi  hali ya kiangazi imeleta madhara makubwa miongoni mwa wakaazi huku takwimu zikionyesha kwamba eneo la samburu limeathirika zaidi.

Also Read
Jamii Zilizoathirika na Uchimbaji Madini Kwale na Mombasa Watarajiwa Kufidiwa

Wakati uo huo amesema kwambo ipo haja ya washikadau mbalimbali kushirikiana kutatua tatizo hilo huku akisema kuwa shirika la msalaba mwekundu liko mbioni kuhakikisha kwamba wakaazi ambao wameathirika wanapata chakula.

  

Latest posts

Kiwango Cha Wateja Waliofurahia Huduma Za KRA Ndani Ya Miaka 3 Imeongezeka

Ruth Masita

HURIA Yalaumu Vyama Vya Kisiasa

Clavery Khonde

Wakaazi Kwale Waitaka Serikali Kushughulikia Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi