Umeme Wundanyi

Mbunge wa Wundanyi Danson Mwashako amewahakikishia wakaazi wa eneo bunge hilo kuwa atajizatiti ili kuhakikisha vijiji vyote maeneo hayo vinapata nguvu za umeme.

Mwashako amesema wanaendelea kushirikiana na kampuni ya kusambaza nguvu za umeme nchini kplc ili kufanikisha mradi huo wa umeme katika eneo bunge lote la Wundanyi.

Also Read
Wanachama Wa ODM Wanamakataa Ya Wiki Mbili Kufanya Uchaguzi
Also Read
Idadi ya Maambukizi ya Covid-19 Yaongezeka Taita Taveta.

Aidha Mwashako amesema mradi huo utaendelezwa sambamba na  taa za barabarani kwa lengo la kuimarisha  usalama wa wananchi sawa na kufanikisha kuboresha biashara

Hata hivyo Mwashako amewataka wananchi wa Wundanyi kuhakikisha wanazingatia miradi ya maendeleo kwa sasa na kupuuzwa kampeni za mapema  akisistiza bado wakati wa sasa haujafika.

  

Latest posts

Wafanyibiashara Katika Soko La Malindi Walalamikia Uchafu na Uvundo.

Sylvester Chibero

Wakenya Wametakiwa Kuwa Waangalifu Wakati Wanapoabiri Magari Msimu Huu Washerehe.

Sylvester Chibero

Tutashamiri Kwenye Mashindano Ya Mwaka Huu Ya Tong-IL Moo Do Asema Master Mwakio

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi