UNDP Yaanzisha Mpango wa Kutoa Mafunzo ya Sheria kwa Wafungwa.

Shirika la umoja wa kimataifa kuhusu mpango wa maendeleo UNDP imeanza mikakati ya kushirikiana na wasaidizi wa kisheria katika shirika la Kituo cha Sheria ili kutoa hamasa kwa wafungwa kuhusu umuhimu wa kufahamu haki na sheria za kujitetea mahakamani.

Also Read
Usalama uko sawa Pwani asema John Elungata

Akizungumza na wanahabari katika gereza la Shimo La Tewa lililoko eneo la Shanzu hapa Mombasa afisa wa nyanjani katika shirika la UNDP Dan Juma amesema kuwa hatua hii itawawezesha wafungwa wasio na ujuzi wa sheria wanapata mafunzo.

Also Read
Viongozi wa Kaskazini Mashariki wataka kujua idadi ya watu wao

Kwa upande wake mkurugenzi mkuu katika shirika la Kituo Cha Sheria hapa Mombasa Annette Mbogo amesema kuwa kufikia sasa wamefanikiwa kuwapa hamasa wafungwa 30 wanaume na 18 wanawake hatua ambayo ametaja kuwa ya mafanikio kwani baadhi yao waliweza kujitetea na kuachiliwa.

  

Latest posts

Tungule Awasuta Viongozi Wanaohubiri Siasa Za Mirengo Ganze

Clavery Khonde

Gavana Kingi Ashutumiwa Kwa Madai ya Usaliti

Ruth Masita

Naibu Gavana wa Mombasa Ataja Uchumi Kuwa Chanzo Cha Wazazi Kushindwa Kulipa Karo

Ruth Masita

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi