Usaili wa Makimishna wa IEBC Wakamilishwa Leo.

Jopo la kuwasaili waliotuma maombi ya kutaka kuhudumu kama makamishna wa tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC, litakamilisha shughuli hiyo leo.

Also Read
Serikali yatakiwa kutoa shilingi milioni 400 za kuendeleza shughuli za mradi wa Galana Kulalu

Watatu wa mwisho waliotuma maombi yao watasailiwa na jopo hilo leo kabla ya kutayarisha ripoti yake.

Hapo janaSimeon Pkiyach Pkateymutet, Timothy Tipilu Ole Naeku, na Zippy Nzisa Musyimi walisailiwa na jopo hilo.

Also Read
Jomvu haina maji ya kunywa.

Pkateymutet, ambaye ni mtaalam wa maswala ya usimamizi alisema atatumia ujuzi wake endapo atateuliwa kuhudumu kama kamishna wa IEBC kuhakikisha kuwa uchaguzi nchini haukumbwi tena na dosari.

  

Latest posts

Kinara wa ODM Raila Odinga awahimiza wadau wa sekta za kiuchumi kubuni zaidi fursa za kustawisha uchumi

Joshua Chome

Naibu rais alilaumu bunge kwa kuchelewesha utekelezaji wa mpango wa afya kwa wote

Joshua Chome

Tume ya uchaguzi yaagizwa kufika bungeni kuelezea maandalizi ya uchaguzi

Joshua Chome

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi