Usalama Kuimarishwa Kabla Wakati Na Baada Ya Uchaguzi

Mkurugenzi wa mipango  ya huduma ya polisi ya kitengo cha utawala katika makao makuu jijini Nairobi  Masood Mwinyi amesema usalama utaimarishwa zaidi kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu mwezi wa nane.

Also Read
Serikali Yahimizwa Kuwapa Ajira Waliojinasua Kutoka Kwa Matumizi Ya Mihadarati

Mwinyi amesema wameweka mikakati ya kukabiliana na makundi ya  vijana ambayo anadai huenda yakatumiwa na wanasisa kuvuruga amani akisema watachukuliwa hatua kali za kisheria.

Also Read
Tanzania Yawekewa Vikwazo Na Marekani.

Ameyasema hayo mjini Kilifi ambapo pia amewataka wanasiasa kufanya mikutano yao kwa njia ya amani na kupepuka kutoa matamshi  ya uchochezi.

Aidha  mkurugenzi huyo amewaonya maafisa wa polisi dhidi ya kuegema mirengo ya kisiasa wakati wa kampeni za kisiasa zinapoendelea

Also Read
Usalama Kuimarishwa Kwale

Amesema  mafisa hao wana haki ya kupiga kura wakati wa uchaguzi ujao na kuhakikisha wanalinda usalama kwa wananchi.

 

  

Latest posts

Gor Mahia Wapiga Kalamu Harrison na Benchi Lake La Kiufundi

Clavery Khonde

Sportpesa Yatoa Vifaa Vya Matibabu Kilifi

Clavery Khonde

Hospitali Za Kibinafsi Kukataa Huduma Za NHIF Mwezi Ujao

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi