Utoaji mimba ni ‘mauaji’

Papa Fracis amewakosa baadhi ya Maaskofu wa Kanisa katoliki wa Marekani kwa kushugulikia msimamo wa rais wa Marekani Joe Biden wa kuunga mbono utoaji mimba kwa njia ya kisiasa badala ya njia ya kitume.

Ameyasema haya alipojibu kuhusu mjadala wa Maaskofu wa Marekani, kuhusu iwapo Rais Biden, ambaye ni Mkatoliki anapaswa kukataliwa kushirikik Komuniyo(Ekaristi), kwasababu anaunga mkono haki ya wanawake kuchagua kutoa mimba, hata kama yeye anapinga hilo, Papa Francis alisema utoaji mimba ni “mauaji”, hata muda mfupi baada ya kupata ujauzito.Akiwa amebiri ndege alipokuwa safarini kutoka nchini Slovakia Jumatano.

  

Latest posts

Seneta Wa Lamu Afikishwa Mahakamani

Clavery Khonde

Lalama Za Ongezeko La Ajali Vuga

Clavery Khonde

Mkurugenzi Wa Manchester United Kufanya Mkutano Na Wamiliki Wa Kilabu Hio Kuhusu Hatma Ya Ole Solskjaer

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi