Sociolite na mfanyibiashara Vera Sidika amepinga tarifaa kuwa ana mpango wa kumtema Brown mauzo punde tu atakapojifungua.
Kauli yake Vera inajiri baada ya kuibuka kuwa hakukusudia kupata Ujauzito wa Brown Mauzo, vile vile madai mengine yaliyoibuliwa ni kuwa Vera kivutio chake kwa Brown Mauzo ni kupata watoto wazuri “cute babies” ila hana mpango wa kudumu naye kwenye ndoa.