Vijana Kilifi Wahimizwa Kujiunga Na Uskauti

Shirika la masikauti katika kaunti ya Kilifi limewataka vijana kujiunga na shirika hilo ili kupunguza idadi ya vijana wanaotumia dawa za kulevya pamoja na mimba za mapema.

Kwa mujibu wa mshirikishi wa shirika  hilo  kaunti ya Kilifi Muthoni Ireri wanasajili   watoto wa kati ya miaka 6 hadi 26 na kuwapatia mafunzo ya maadili na jinsi watakavyojiepusha na matumizi ya mihadarati.

Also Read
Uhaba Wa Maji Kuwalazimu Wanafunzi Kubeba Maji Kilifi Na Kwale

Akizungumza na pwani fm afisini mwake mjini Kilifi Ireri amesema kufikia sasa watoto ambao wamejiunga na shirika hilo kaunti ya Kilifi  ni 33,550.

Also Read
Saburi Atawazwa Na Wazee Wa Kaya Kuwania Ugavana Kilifi

Anasema  maadili wanayoelimisha vijana hayo huwasaidia wakati wanapotaka kazi za serikali ikiwemo ya maafisa wa usalama nchini.

Also Read
Makafani Ya Kilifi Kufunguliwa Mwezi Ujao

Aidha Ireri amewahiza wanachi kuendelea kufuata maadili hitajika katika jamii ili kupunguza kesi za ufisadi,ubakaji na matumizi ya dawa za kulevya.

  

Latest posts

Mshukiwa Mkuu Wa Mauaji Ya Mwanariadha Agnes Tirop Amekamatwa Mombasa

Clavery Khonde

Mbelle Awahimiza Vijana Kuzidisha Chachu Ya Talanta Zao

Clavery Khonde

Rais Kenyatta Amekutana Na Rais Biden Wa Marekani

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi