Viongozi Wa Dini Watakiwa Kuwa Makini Kutokana Na Msambao Wa Korona

Huku idadi ya maambukizi ya virusi vya korona yakiendelea kuongeza katika kaunti ya Kilifi na taifa la Kenya kwa jumla kiongozi wa dhehebu la ACK askofu Lawrence Dena amesema kuwa baadhi ya watu hawajakuwa wakitilia maanani maagizo ya wizara ya afya katika kuzuia maambukizi hayo.

Also Read
Shehena Ya Kwanza Ya Chanjo Ya COVID-19 Imewasili Nchini

Akizungumza katika kaunti ya Kilifi Askofu Dena ametaja hatua hiyo kuchangiwa na baadhi ya wananchi kupuuzilia mbali maagizo ya wizara ya afya huku wakiwa na dhana potofu ya kutokuwepo kwa virusi hivyo katika kaunti ya Kilifi.

Also Read
Wachezaji Wanane Wa Tottenham Wanaugua Korona Asema Mkufunzi Conte

Hata hivyo kiongozi huyo ametoa tahadhari kwa viongozi wa kidini kujilinda dhidi ya maambukizi ya virusi hivyo kwa kile alichokitaja kuwa wako katika hatari kubwa kwani wao huhudhuria halfa za mazishi na harusi sehemu ambazo zina mikusanyiko ya watu hali inayohatarisha maisha ya watu.

Also Read
Sekta Ya Hoteli Pwani Yazindua Teknolojia Kutoa Habari Sahii Kuhusu Korona.

  

Latest posts

Serikali ya kaunti ya Kilifi yatenga asilimia 15 ya bajeti kwa maendeleo

Joshua Chome

Kalonzo Aikosoa Serikali

Clavery Khonde

Rais Ruto Ateua Jopokazi Litakalo Tathmini Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi