Wafugaji Wa Ng’ombe Wapata Mafunzo Voi

Baàdhi ya wakulima hususan Wafugaji wa kuku na ng’ombe kutoka wadi ya Kaloleni mjini Voi Kaunti ya Taita wamepata mafunzo yatayowawezesha kuboresha na kuongeza mapato ya kilimo chao.

Also Read
Uhaba Wa Maji Kuwalazimu Wanafunzi Kubeba Maji Kilifi Na Kwale

Mafunzo hayo yanayoendeashwa na kikundi Cha wataalamu ambao ni wahadhiri Katika chuo kikuu Cha Nairobi almaarufu The kenyan chapter of the African Women in Agricultural Research and development yanalenga kumwezesha mkulima kuzingatia kilimo biashara.

Also Read
Mwakilishi Wadi Ya Mata Apata Ajali Voi

Daktari Easther Kanduma ni mmoja wa wa wanasayansi na  mhadhiri Katika kikundi hicho.

Hata hivyo Wito umetolewa kwa Serikali ya Kaunti ya Taita Taveta kutoa mafunzo ya Mara kwa Mara kwa wakulima kama mbinu ya kuinua sekta ya kilimo Katika Kaunti Hii.

  

Latest posts

Serikali ya kaunti ya Kilifi yatenga asilimia 15 ya bajeti kwa maendeleo

Joshua Chome

Kalonzo Aikosoa Serikali

Clavery Khonde

Rais Ruto Ateua Jopokazi Litakalo Tathmini Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi