Wahudumu wa Bodaboda Washauriwa Kutumia Vipaji Vyao Kujiendeleza Kimaisha

Wahudumu wa bodaboda kaunti ya Kwale wametakiwa kutumia vipaji vyao kujiendeleza kimaisha badala ya kujihusisha na utumizi wa dawa za kulevya.

Mwenyekiti wa wahudumu hao kaunti ya hii Nehemiah Kinywa amewataka waendeshaji wa bodaboda kutumia vipaji vyao kama njia mbadala ya kujikimu kimaisha.

Also Read
Serikali Ya Kilifi Kuanza Kushughulikia Swala La Bajeti Asema Mung’aro

Kinywa amewataka vijana wa bodaboda kujitokeza kwa wingi na kushiriki katika mashindano ya kutambua vipaji ya Kwale Got Talent yanayoendelea kaunti hii.

Also Read
Ukosefu Wa Uwanja Wa Kimataifa Wa Ndege Taita Taveta Watajwa Kurudisha Nyuma Utalii

Kwa upande wake afisa mkuu mtendaji wa mashindano hayo Vincent Okeyo amesema kuwa vijana watatumia vipaji vyao kujitegemea kimaisha.

Also Read
Viongozi wanataka polisi zaidi wa kike kupelekwa Lamu kukabiliana na visa vya dhulma za kijiansia

Okeyo amesema kwamba wanalenga kuwaelimisha vijana kuhusu athari ya utumizi wa dawa za kulevya na mimba za mapema.

  

Latest posts

Kaunti ya Kilifi yaanza uboreshaji wa huduma za afya

Joshua Chome

Bunge lajadili hotuba ya rais huku mseto wa hisia ukiibuka kutoka kwa pande mbili

Joshua Chome

Rais wa Uganda Yoweri Museveni awaomba msamaha Wakenya kwa jumbe kutoka kwa generali Mohoozi

Joshua Chome

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi