Wakaazi wa kilifi wahimizwa kutoa damu kwa manufaa ya afya yao

Kuna hatari ya kupata ugonjwa wa moyo miongoni mwa magonjwa mengine wakati ambapo damu inakuwa mwilini kupita kiasi.

Haya ni kwa mujibu wa mkurugenzi wa maswala ya kukusanya na kusambaza damu kaunti ya Kilifi,Daniel Katana ambaye amesema kuwa wakaazi wanashauriwa sana kutoa damu hali ambayo itawaepusha dhidi ya kupata magonjwa hayo.

Also Read
Baadhi Ya Wanafunzi Warudi Shuleni Wakiwa Wameongeza Uzani Baada Ya Likizo Ndefu

Katana amesema kuwa mbali na kujiepusha na magonjwa utoaji wa damu unasaidia katika kuokoa maisha.

Also Read
Rais Buhari asafiri Uingereza kwa matibabu

Aidha Katana amesema kuwa utoaji wa damu unasaidia katika kupunguza uzani hasa kwa wale ambao wanauzani mkubwa wa mwili.

Also Read
Wahudumu wa Afya Wagoma Mombasa.

Mkurugenzi huyo amesema kuwa kwa wale wanaoishi na virusi vya ukimwi wanapaswa kupewa damu isiokuwa na maambukizi ya virusi hivyo wakati ambapo wana uhitaji wa damu mwilini.

  

Latest posts

ODM Yamteua Mohammed Hamid Kama Mwenyekiti Wa Tawi la Mombasa

Ruth Masita

Wafanyabiashara wa Kanda ya Afrika Mashariki Walalamikia Kupanda kwa Bei ya Mafuta Nchini

Ruth Masita

Wanakandarasi waonywa dhidi ya kuzembea kaunti ya Kwale

Joshua Chome

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi