Wakaazi Wakwale Wahimizwa Kudumisha Amani

Wagombea wa kiti cha wadi ya Ukunda kaunti ya Kwale wamewataka wananchi kudumisha amani na kuishi kwa umoja wakati huu wa msimu wa siasa.

Mgombea wa kiti hicho kwa tiketi ya chama cha UDA Gladys Mwakisha amewataka wakaazi wa eneo hilo kutofautiana kwa misingi ya kisiasa na kikabila.

Also Read
Achani Awataka Wapinzani Wake Kukoma Kumchafulia Jina

Akizungumza katika eneo la Mkwakwani, Mwakisha amesema kuwa hakuna haja ya wananchi kukosana kwani siasa za uchaguzi wa Agosti zitapita.

Also Read
Serikali Ya Kwale Yahimizwa Kuwagharamia Wagonjwa Wa Saratani

Kwa upande wake mgombea wa kiti hicho kupitia chama cha Uzalendo (CCU) Richard Onsongo maarufu kama Mwaraone ameahidi kuhakikisha zabuni za serikali ya kaunti zinatolewa kwa wenyeji.

Also Read
Congo Boyz Yajiandaa

Onsongo amesema kuwa analenga kukabiliana na wanakandarasi wanaonyemelea zabuni za eneo hilo endapo atachaguliwa kuwa mwakilishi wa wadi hiyo.

  

Latest posts

Tedros Adhanom Ghebreyesus Achaguliwa Tena Kuwa Mkuu Wa WHO

Clavery Khonde

Jurgen Klopp Achaguliwa Kama Mkufunzi Bora Wa Ligi Ya EPL

Clavery Khonde

Manchester United Wanawinda Saini Ya Milinkovic-Savic.

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi