Wakenya Wapongezwa Kwa Kudumisha Amani

Wakenya wanazidi kupongezwa kwa kuhakikisha wanadumisha amani kabla wakati na hata baada ya uchaguzi mkuu wa Agosti 9.

Akiongea na pwani fm mkurugenzi wa shirika la kutetea haki za binadamu la HURIA Yusuf Lule amesema kuwa wakenya kutoka kaunti za Mombasa Kilifi na Kwale wanastahili kupongezwa kwa kuhakikisha kunakuwa na amani kipindi chote cha uchaguzi akisema kuwa hatua hio inaonyesha ukuaji wa demokrasia nchini.

Also Read
Serikali Yaombwa Kufanya Uchunguzi wa Mauaji Yanayoendelea Bwagamoyo
Also Read
Shabiki Sugu Wa Kandanda Nchini Isaac Juma Afariki

Wakati uo huo amewapongeza maafisa wa polisi kutoka kaunti hizo tatu kwa kuhakikisha kunakua na amani miongoni mwa wakenya.

  

Latest posts

Rais aahidi kukomesha aibu ya njaa nchini

Joshua Chome

Mradi Wa Unyunyiziaji Mashamba Maji TanaRiver Waimarishwa

Ruth Masita

Gavana Achani akemea wanaoendeleza kuhubiri siasa chuki Kwale

Ibrahim Nyundo

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi