Wakenya Wazidi Kuilaumu KPLC

Wakenya wengi wanaendelea kulalamika kuhusu kukatizwa kwa nguvu za umeme kwa nchini licha ya Shirika la umeme kutatua tatizo hilo.

Nguvu hizo za umeme zilipotea mapema jumanne saa tano kasoro robo.

Also Read
Kumi zaidi wafariki kutokana na covid19 nchini

Hii ni baada ya kituo kikuu cha kusambaza umeme cha kiambere Embakasi kukumbwa na hitilafu.

Licha ya wakenya kuwa na matarajio ya kurejea kwa umeme, Kenya power ilitoa ujumbe kuwa kituo cha kusambaza umeme cha Suswa Embakasi cha kusambaza umeme nacho kimepata hitilafu.

Also Read
Mwanamfalme Charles akutana na mwanaharakati wa Mazingira wa Uganda Vanessa Nakate 
Also Read
Wazee Wa Kaya Kupewa Msaada

Kinacho watia hofu zaidi  wakenya wengi ni kwamba ukosefu wa nguvu za umeme husababisha hasara kubwa na pia hofu ya  ukosefu wa usalama.

  

Latest posts

Gor Mahia Wapiga Kalamu Harrison na Benchi Lake La Kiufundi

Clavery Khonde

Sportpesa Yatoa Vifaa Vya Matibabu Kilifi

Clavery Khonde

Hospitali Za Kibinafsi Kukataa Huduma Za NHIF Mwezi Ujao

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi