Wakulima wa Kilifi Wasema Uwezo wa Kuzalisha Chakula Upo

Zaidi ya wakulima 300 kutoka kijiji cha Gongoni kaunti ndogo ya Kilifi kusini wamesema wako na uwezo wakutoa chakula chenye uwezo wa kuwatosheleza wakazi wa Kaunti ya Kilifi na hata kaunti zengine.

Also Read
ANC Yatoa Tiketi ya Moja Kwa Moja Kwa Muwaniaji wa Wadhfa Wa Uwakilishi Wadi Wa Bongwe

Wakulima hao wamesema wameungana ili waendeleze ukulima mbali mbali kupitia pesa wanazochanga ili kujikuza na kujiendeleza kimaisha na pia kupambana na baa la njaa linaloshuhudiwa sehemu tofauti tofauti Kaunti hiyo.

Also Read
"Dudula" Waitaka Serikali Kukabiliana Na Uhamiaji Haramu Afrika Kusini

Wakiongozwa na mwenyekiti wao Crispus Mwaganda , wamesema ni kupita kuwezeshwa na kutumia mbinu za kisasa za ukulima zitakazowesha kuzalisha chakula cha kutosha.

Baadhi yao wameunga mkono Kauli yake wakisema wakulima wengi eneo hilo wanaendeleza ukulima wa kutumia mbinu za kisasa.

Also Read
Congo-Brazzaville yampoteza muwanaji urais mmoja

Joshua Mwadzombo na Rehema Ozile wanaomba wahisani kujitokeza kuwapa mikopo ili kufanikisha azma yao ya kuendeleza kilimo bora kwa faida ya taifa la Kenya.

  

Latest posts

Kaunti ya Kilifi yaanza uboreshaji wa huduma za afya

Joshua Chome

Bunge lajadili hotuba ya rais huku mseto wa hisia ukiibuka kutoka kwa pande mbili

Joshua Chome

Rais wa Uganda Yoweri Museveni awaomba msamaha Wakenya kwa jumbe kutoka kwa generali Mohoozi

Joshua Chome

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi