Walanguzi Wa Pembe Za Ndovu Wanaswa Kwale

Maafisa wa shirika la kuhifadhi wanyama pori KWS kaunti ya Kwale wamefaniki kuwanasa washukiwa wawili waliokamatwa na pembe tano za ndovu  zenye mizani wa kilogramu 18 katika kijiji cha Vyogato  eneo bunge la Kinango.

Also Read
Lalama Za Ukosefu Wa Stima Tana Delta

Kulingana na Afisa mkuu wa shirika hilo Jacob Orahle amedokeza kuwa mmoja wa washukiwa alifanikiwa kutoroka ambapo maafisa wa shirika hilo wanaendeleza msako kumtafuta mshukiwa huyo wa tatu.

Also Read
Wakaazi Taita Taveta Waonywa Dhidi Ya Kulala Bila Kuzima Jiko La Mkaa

Aidha afisaa amewataka wakenya kukoma kuendeleza biashara hiyo haramu kwani wanyama hao wanategemewa kuinua sekta ya utalii.

Also Read
Wakaazi Lunga Lunga Waandamana Kulalamikia Ubovu Wa Daraja La Mwachande

Orahle sasa ametoa changamoto kwa wakaazi wa kaunti hiyo kuwafichua wanaoendeleza biashara hizo kwa maafisa wa KWS ili wachukuliwe hatua za kisheria.

Wa

 

  

Latest posts

Wafanyibiashara Katika Soko La Malindi Walalamikia Uchafu na Uvundo.

Sylvester Chibero

Wakenya Wametakiwa Kuwa Waangalifu Wakati Wanapoabiri Magari Msimu Huu Washerehe.

Sylvester Chibero

Tutashamiri Kwenye Mashindano Ya Mwaka Huu Ya Tong-IL Moo Do Asema Master Mwakio

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi