Walimu Wawili Wa Shule Ya Upili Ya St. Georges Kaloleni Wafikishwa Mahakamani

Walimu wawili wa shule ya upili ya wavulana ya St. Georges Kaloleni Giriama wamefikishwa mahakamani mjini Mariakani kwa kosa la uchochezi uliosababisha vurugu na kufungwa kwa shule hiyo mwezi uliopita.

Also Read
'Sisi watu wa Kwale tutamuunga mkono Musalia Mudavadi' Asema Kassim Sawa Tandaza mbunge wa Matuga

Wawili hao Joaninah Wangeci Kabugu na mwenzake Nicholas Ouma Gor wanadaiwa kutoa matamshi hayo mnamo tarehe 20 na 21 mwezi October mwaka huu mtawalia.

Also Read
Ukame Watajwa Kutatiza Zoezi La Usajili Wa Wapiga Kura Kilifi

Mshatakiwa wa kwanza amekabiliwa na kosa jinguine la kuzua vurugu huko Mtito Andei na alimtishia kumpiga Mwamuye Bashir.

Hata hivyo wawili hao wamekanusha mashtaka hayo mbele ya hakimu mwandamizi Stephen Ngii na kuachiliwa kwa dhamana ya shilingi elfu 20 au mdhamini wa shilingi elfu 50.

Also Read
Uhaba Wa Maji Mariakani Na Kilifi Kupata Suluhu.

Kesi hiyo itatajwa mnamo tarehe 1 mwezi Disemba mwaka huu.

  

Latest posts

Mvurya Ataka Maafisa Wa Idara Na Mashirika Ya Serikali Kuhusu Maendeleo Zishirikishe Serikali Za Ugatuzi

Ruth Masita

Wanawake Wajasiriamali 450 Wanufaika Na Mafunzo Ya Kibiashara Mombasa

Ruth Masita

Mahakama yamwachilia mbunge wa Sirisia John Walukhe kwa dhamana ya shilingi milioni kumi

Joshua Chome

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi