Wamiliki Wa Mabaa Na Nyumba Za Guest Bombolulu Waonywa

Naibu kaunti kamishana  wa Kongowea Henry Rop ametoa onyo kali kwa  wenye nyumba za guest na sehemu za burudani eneo la Bombolulu kufata  sheria la sivyo sehemu hizo zifungwe.

Also Read
Waudumu wa mabaa kaunti ya Kwale walalamikia mahangaiko mikononi mwa polisi

Aliyasema hayo kwenye mkutano wakuwachagua wazee  wamtaa nawasaidizi wao maeneo ya Bombolulu.

Kwa upande wake mkereketwa wa maswala ya kijamii  Abdallah Abdulrahman kutoka eneo la Ziwa Lang’ombe alihimiza ushirikiano baina ya wananchi na viongozi serikalini ili kuhakikisha kuwa wananchi wanaweza kutoa lalama zao kwa walengwa wakati unaofaa.

Also Read
Ogallo Kamishna Wa Magereza Afutwa Kazi Nchini Nakuteuliwa Kibaso
Also Read
Baraza La Viongozi wa Dini Lahamasisha Wafanyabiashara Dhidi ya Covid-19.

vile vile alitaka idara ya usalama iwe ikiweka mabaraza ya kujadili hali za usalama katika eneo hilo hali ambayo anasema itachangia pakubwa kwa kudumisha usalama.

  

Latest posts

Uungereza Yaahidi Kushirikiana Na Kenya Kukabili Korona

Clavery Khonde

Wakenya Wahimizwa Kuwatunza Wanao Dhidi Ya Biashara Ya Ngono

Clavery Khonde

Viongozi Wa Dini Kwale Waonywa Dhidi Ya Kujihusisha Na Siasa

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi