Wanajeshi 14 Burkina Faso wauwawa

Kundi la waasi wa kiislamu limewaua wanajeshi 14 kaskazini mwa Burkina Faso, ilihali wengine saba walijeruhiwa mapema Jumatatu.

Also Read
Kilio Cha Maji Lamu

Shambulio la kujibu uvamizi huo lilifanywa kulingana na Wizara ya ulinzi na kuua wanamgambo kadha.

Also Read
Wachimba Madini Wadogo Walalamikia Serikali Taita Taveta

Mnamo Juni, takribani maafisa 15 wa polisi walivamiwa na kuuawa huko Yirgou.

Wapiganaji wa kiisilamu wamewaacha watu wengi katika eneo la Sahel la Afrika wanaishi chini ya tishio la ghasia zao.

  

Latest posts

Wafanyibiashara Katika Soko La Malindi Walalamikia Uchafu na Uvundo.

Sylvester Chibero

Wakenya Wametakiwa Kuwa Waangalifu Wakati Wanapoabiri Magari Msimu Huu Washerehe.

Sylvester Chibero

Tutashamiri Kwenye Mashindano Ya Mwaka Huu Ya Tong-IL Moo Do Asema Master Mwakio

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi