Wanasiasa Wa Kilifi Wahimizwa Kuzingatia Siasa Za Amani

Wanasiasa wa eneo la pwani wametakiwa kuzingatia siasa za amani bila kutumia lugha chafu.

Haya ni kwa mujibu wa mkereketwa wa mambo ya kijamii na kisiasa eneo la Ganze Kenneth Charo almaaruf Tungule.

Also Read
Polisi watibua mkutano wa kisiasa mswambweni

Akiongea huko Ganze Charo amesistiza haja ya utangamano na kuhubiri amani wakati huu ambapo kampeni za kisiasa zinaonekana kushika kasi.

Also Read
Kinara wa chama cha NARC Kenya Martha Karua atoa wito wa kusalia kwa vyama vingi nchini

Aidha amewataka wakenya kuwa makini wanapojiandaa kuwachagua viongozi wao katika uchaguzi wa mwaka ujao kwani hio ndio nafasi pekee ya kuhakikisha wanachagua wawakilishi wao kuanzia ngazi ya wadi hadi kitaifa.

  

Latest posts

Kiwango Cha Wateja Waliofurahia Huduma Za KRA Ndani Ya Miaka 3 Imeongezeka

Ruth Masita

HURIA Yalaumu Vyama Vya Kisiasa

Clavery Khonde

Wakaazi Kwale Waitaka Serikali Kushughulikia Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi