Wanasiasa Wanaowania Ugavana Mombasa Wahimizwa Kuhubiri Umoja

Wanasiasa kutoka kaunti ya Mombasa ambao wanawania nyadhfa mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi mkuu ujao wameombwa kutohubiri ukabila na badala yake wahimize wakaazi wa jimbo hili kuishi kwa utangamano.

Also Read
Mapigano mjini Tigray Ethiopia Yadaiwa Kuchangia Ukiukaji Wa Haki Za Kibinadamu.

Haya ni kwa mujibu wa Evans Momanyi ambaye ni mwenyekiti wa shirika la Alliance for Peace

Also Read
Tume Ya Ardhi Yakashifiwa Kilifi

Akiongea na meza yetu ya habari Momanyi amesistiza haja ya wakenya kuishi kwa umoja bila kuzingatia matabaka ya dini, kabila ama maeneo wanayotoka.

Also Read
Gavana Dhadho Godhana Akashifiwa

Aidha amesema wakati siasa za uchaguzi mkuu zikizidi kushika kasi amewarai vijana kutotumika vibaya na wanasiasa bali kujikita katika nguzo ya kueneza amani.

  

Latest posts

Wafanyibiashara Katika Soko La Malindi Walalamikia Uchafu na Uvundo.

Sylvester Chibero

Wakenya Wametakiwa Kuwa Waangalifu Wakati Wanapoabiri Magari Msimu Huu Washerehe.

Sylvester Chibero

Tutashamiri Kwenye Mashindano Ya Mwaka Huu Ya Tong-IL Moo Do Asema Master Mwakio

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi