Wanasiasa waonywa dhidi ya kuwatetea wahalifu

Idara ya polisi kaunti ya Kwale imetishia kuwachukulia hatua za kisheria wanasiasa wanaowatetea washukiwa wa uhalifu pindi wanapotiwa mbaroni.

Akizungumza mjini Kwale naibu  kamishna eneo la Matuga Lucy Ndemo amesema kuwa  hatua hio  inahujumu usalama wa wakaazi msimu huu wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti.

Also Read
Tahadhari ya Musalia kwa viongozi wa kisiasa
Also Read
Media Imechangia Mashabiki Kutoelewa Mziki Wangu Asema City Boy

Hata hivyo amewataka viongozi wa kisiasa kuwa mfano wakuigwa katika jamii badala ya kuwashawishi vijana kutekeleza uovu.
Huku haya yakijiri Ndemo amewataka wazazi kuhakikisha kwamba watoto wote wanarudi shuleni akisema kuwa atakayekiuka agizo hilo atakabiliwa kisheria.

  

Latest posts

Nitaiboresha Idara Ya Usalama Kaunti Ya Mombasa Asema Abdullswamad Shariff Nassir

Clavery Khonde

Mpango Wa Wanawake Wazinduliwa Kwlae

Clavery Khonde

Waziri Magoha Aahidi Uimarishwaji Zaidi Wa Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi