Wasi wasi wa Ecowas kuhusu Conde

Ujumbe kutoka jumuiya ya kiuchumi ya Afrika Magharibi, Ecowas wamekuwa na mkutano wa kwanza na wanamgambo wa junta katika mji mkuu wa Guinea pale Conakry.

Also Read
Marquees akigongwa na basi niko sawa

Wanadiplomasia, wakiwemo mawaziri wa kigeni kutoka Ghana, Burkina Faso na Togo, walifika nchini humo kufuatia mapinduzi dhidi ya Rais Alpha Condé.

Katika kujibu, Ecowas ili ilaani mapinduzi na kuiondoa Guinea katika jumuiya hiyo.

Also Read
Wanaokiuka Kanuni Za Kujikinga Na Korona Kukabiliwa Kisheria Kwale

Ujumbe wa Ecowas utakuwa unataka kuhakikishiwa kwamba Bw Condé yuko katika afya njema, kushinikiza kuachiliwa kwake kutoka kutoka mahabusu na kuomba ratiba ya kurejea kwa utekelezwaji wa mfumo wa katiba,anasema mwandishi wa habari wa BBC aliyeko mjini Conakry.

Also Read
Utafiti Wa Madini Umeanzishwa Kwale
  

Latest posts

Mshukiwa Mkuu Wa Mauaji Ya Mwanariadha Agnes Tirop Amekamatwa Mombasa

Clavery Khonde

Mbelle Awahimiza Vijana Kuzidisha Chachu Ya Talanta Zao

Clavery Khonde

Rais Kenyatta Amekutana Na Rais Biden Wa Marekani

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi