Wasichana watia fora kwenye mitihani kaunti ya Lamu huku wavulana wakibaki solemba

Mkurugenzi wa elimu kaunti ya Lamu Joshua Kaaga anasema ingawa elimu ya mtoto wa kike huko Lamu iko katika mkondo ufaao, mengi zaidi yanafaa kufanywa ili kuhakikisha wavulana wanafanikiwa.Katika matokeo ya mtihani wa KCPE wa 2021, wasichana katika kaunti hiyo waliongoza orodha hiyo ya wanafunzi waliofanya bora zaidi kuliko wavulana.

Also Read
Gideon Moi Asema Kuwa Kenya Inahitaji Uongozi Utakaowasaidia Wananchi
Also Read
Jamaa Ahukumiwa Miaka Miwili Jela Kwa Kuiba Ng'ombe Wa Ajuza Wa Miaka 80

Watahiniwa watano bora katika kaunti hiyo wote walikuwa wasichana. Ambao walikuwa Ashraf Ali Mohamed kutoka Swafaa Academy aliyepata alama 411, Ramla Isack Haji kutoka Shule ya Msingi Mkomani Mahmoud Bin Fadhil (409) na Razina Omar Ali kutoka Swafaa Academy (404).

  

Latest posts

Nadal Atinga Nusu Fainali Ya Michuano Ya Wimbledon

Clavery Khonde

Raheem Sterling Akubali Kujiunga Na Chelsea

Clavery Khonde

Waziri Chelagui Awahimiza Vijana Kujiunga Na Vyuo Vya Kiufundi

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi