Watu 4 nchini Nigeria wakamatwa kwa ‘kula nyama ya watu’

 

Watu wanne wanaodaiwa kuhusika na ulaji nyama za watu na kuuza sehemu za binadamu wamekamatwa na maafisa wa polisi katika jimbo la Zamfara kaskazini –magharibi mwa Nigeria kwa mujibu wa maafisa wa polisi nchini humo.

Also Read
Ramaphosa Akaribisha Kuachiliwa kwa Zuma Kwa Sababu za Kiafya.

Tukio hilo ni geni katika eneo hilo. Haya yanajiri wakati ambapo maafisa wa upelelezi walipata maiti katika jengo ambalo halijakamilika huku sehemu za mwili zikiwa zimetolewa.

Also Read
Mwanaume wa Nigeria aliyejiuza amekamatwa

Kamishna wa polisi katika jimbo hilo Ayuba Elkanah alisema katika harakati za kufanya uchunguzi wa kupotea kwa mvulana wa miaka tisa. Washukiwa hao wakiwemo wanaume wawili na wavulana wawili walikamatwa.

  

Latest posts

Wahamiaji sita wafa maji Tunisia

Tima Kisasa

Tishio la shambulizi la kigaidi nchini Kenya

Tima Kisasa

Rais Museveni apinga uwamuzi wa Askofu James Ssebgala

Tima Kisasa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi