Wazazi Wahimizwa Kukaa Karibu Na Wanao

Wazazi wametakiwa kuwa na ukaribu na wanao wa kike ili kuwaepushia na mimba za mapema.

Wakizungumza na pwani fm kwa hisani ya shirika la kimataifa la afya ya uzazi baadhi ya wazazi wamesema imefikia wakati sasa wazazi kuwaambia ukweli wanao madhara ya kushiriki ngono utotoni.

Also Read
Baadhi Ya Wazazi Walalamikia Ukosefu Wa Karo
Also Read
Twataka Mgao Wa Pato La Mbuga Ya Tsavo Wasema Wawakilishi Wadi Taita Taveta

Aidha wamehimiza wazazi kutosuluhisha swala la dhulma za kinsia kwa kuelewana akisema hali hio huchangia kuzidisha tabia hizo.

Also Read
Haika Akinzana Na Mapendekezo Ya BBI

Kwa upande wake Anne Mbeke anaelezea jinsi mwanawe aliweza kupachikwa ujauzito na kukataliwa na kijana aliyetekeleza kitendo hicho.

  

Latest posts

Tedros Adhanom Ghebreyesus Achaguliwa Tena Kuwa Mkuu Wa WHO

Clavery Khonde

Jurgen Klopp Achaguliwa Kama Mkufunzi Bora Wa Ligi Ya EPL

Clavery Khonde

Manchester United Wanawinda Saini Ya Milinkovic-Savic.

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi