Wazazi Waonywa Dhidi ya Kuwaruhusu Watoto Kutazama Filamu Zisizofaa.

Bodi ya kudhibiti filamu nchini imetoa onyo kwa wazazi dhidi ya kutokuwa makini na vipindi ambavyo watoto wao wanatazama wakati huu wa likizo.

Also Read
Mvurya Akana Madai Ya Ufujaji Wa Fedha

Akizungumza alipozuru kituo cha redio cha KBC English service kinachomilikiwa na shirika la utangazaji nchini KBC, afisa mkuu mtendaji wa bodi hiyo Dkt. Ezekiel Mutua amesema walimu hukumbwa na wakati mgumu kuwarekebisha wanafunzi pindi tu shule zinapofunguliwa kwani huwa wameathirika na  baadhi ya vipindi wanavyotazama wakati wa likizo.

Also Read
Mwanariadha Mark Otieno Atimuliwa Kwenye Mashindano ya Olimpiki Japan.
Also Read
Somo la Kiingereza Laimarishwa Shuleni.

Ni kwa sababu hii Mutua ametoa wito kwa kwa wazazi kujukumika kwa kutoa mwongozo bora kwa watoto wao.

  

Latest posts

Gavana Kingi Ashutumiwa Kwa Madai ya Usaliti

Ruth Masita

Naibu Gavana wa Mombasa Ataja Uchumi Kuwa Chanzo Cha Wazazi Kushindwa Kulipa Karo

Ruth Masita

Steve Cooper Ateuliwa Kama Meneja Mpya wa Nottingham Forest

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi