Waziri Kagwe Atoa Wito wa Kuchunguzwa Kwa Magonjwa na Kuyatibu Mapema

Waziri wa afya Mutahi Kagwe ametoa wito wa kuimarishwa kwa uchunguzi wa magonjwa ili kuyagundua na kuyatibu mapema.

Akiongea leo asubuhi jijini Nairobi wakati wa uzinduzi wa kituo cha ushirikiano cha eneo la mashariki ya Afrika Kagwe alisema kuwa kuzuka na kusambaa kwa ugonjwa wa Covid-19 ni ukumbusho kuhusu jinsi viini vya magonjwa vinaposambaa vinaweza kuwa janga la kiafya au mzozo wa kimataifa na hivyo ipo haja ya ugunduzi wa mapema.

Also Read
Nimejaliwa mtoto wa kiume, nimeamua kumpa jina `Gates'
Also Read
Wazazi Na Walimu Waagizwa Washirikiane

Aliwahimiza watafiti kutafiti habari na takwimu akisema kuwa habari kama hizo zinafaa kutoka kwenye viwango vya jamii, kitaifa, kanda na bara ili kufanya maamuzi yafaayo kuhusu afya ya umma.

Also Read
ANC Yatoa Tiketi ya Moja Kwa Moja Kwa Muwaniaji wa Wadhfa Wa Uwakilishi Wadi Wa Bongwe

  

Latest posts

Uteuzi Wa Karua Wapongezwa Na Wanawake

Clavery Khonde

Raila Amteua Martha Karua Kama Mgombea Mwenza Wake

Clavery Khonde

Wapwani Wahimizwa Kuunga Mkono Cha Cha PAA

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi